PART 2 : KIPILIPILI TRAVELS TO HAIR & BEAUTY EXPO.KE
PART 2 OF KIPILIPILI TRAVELS TO HAIR & BEAUTY EXPO.KE - Day 1&2 of our hair experience in Kenya, where we compared the weather and how it affected our hair. follow us on our journey. Tulipata nafasi ya kutembelea Hair & Beauty Expo ambayo hufanyika kila mwaka jijini Nairobi. Fuatilia safari yetu na jifunze tulicho jifunza sisi
#Kipilipili #KipilipiliinKenya #naturalhairtanzanina #kipilipiliproducts